BITCOIN, BLOCKCHAIN AND CRYPTOCURRENCIES
Turudi nyuma mwaka 2008, Bwana mmoja aitwaye Santoshi Nakamoto mtaalamu wa Computer na Hesabu alitengeneza Program na kuiita jina la BITCOIN
Je, Bitcoins ni nini na zinafanyaje kazi ?
Twende na uzi π
#ElimikaWikiendi
Kama hayo mambo ya utamaduni hayapo mbona Kuna wizara ya Sanaa,utamaduni na michezo? Mama anaupiga mwingi sana anapiga kote bila ubaguzi,anavutia watalii na kuitangaza Tanzania yetu kimataifa,sio tu michezo,watu wawe na uwelewa..wanasoma sana uelewa zero.. @ChademaTz nyumbu Fc
Dah! Kuna kila dalili za mwaka huu 2022 naona unakuja vizuri asante @ccm_tanzania kwa kunipa kazi ya kukipigania chama na serikali hapa mtandaoni.
Nimepata nguvu zaidi ila niliwa miss babya #DrzackAbdul kupambana pamoja
Mzungu bwana anatafuta anamtafuta mteja wa chanjo kila kona baada ya hili tishio kwenu wanaume watakuja hapa @WHO na taasisi nyingine watawaambia Chanjo inaongeza nguvu za kiume ili mpate chanjo kwa wingiπππ
Dah wakati kume mtu unamastress kibao hizo mbegu utakuwa nazo basi