HEKAHEKA ZA UCHUKUAJI FOMU ZINAENDELEA NDANI YA CHAMA.
Hongera sana katibu ngome ya vijana Act Wazalendo mkoa wa Songwe kwa kuchukua fomu ya kugombea ubunge jimbo la Vyawa.
#HaiishiMpakaIishe.
Leo Tarehe 11 Mei 2025, Rahma Mwita, Waziri kivuli wa Habari ndani ya Chama cha ACT-Wazalendo, amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake ya kugombea ubunge jimbo la Kinondoni.
Namshkuru Mwenyezi Mungu kwa kunijaalia Afya, Utashi na Hamasa ya kwenda kuchukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kinondoni siku ya leo.
Kwa wale mnaosema siwezi nawakumbusha tuu Jesca hakumsupport Baba yake.
Asanteni Nyote mmenitia nguvu sana. π
Naibu Katibu Mkuu @ACTwazalendo bara Ndugu, @Ester_Thomas1 akimsajili mwanachama Mpya Ndugu, @MkanzaIdd ambaye amechana na CUF ambapo huko alikuwa Katibu wa JUVICUF Taifa.
Karibu sana kwenye familia tusonge mbele
Aliyekuwa Katibu wa Jumuiya ya Vijana Taifa ya Chama cha CUF, Idd Mkanza amehama Chama hicho na kujiunga na Chama cha ACT Wazalendo. Mkanza amepokelewa leo tarehe 11 Aprili 2025 na Naibu Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo, Ester Thomas akiambatana na Naibu Katibu wa Uenezi Shangwe Ayo na Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Abdul Nondo.