@Wakazi@Wakazi ww ndio chizi kabisa umesikiliza yote YouTube au unaangalia vipande tu? Askofu yuko sawa 100% nyinyi wachumia tumbo km Baba yako Wasira hamuezi kuelewa @jgwajima hongera sana umenyoosha maelezo π€
@mangekimambi Mange umewasahau hawa viumbe hawaingii barabarani especially Tanganyika, ZanzibR they might but sio upande wa pili coz Zanzibar ni wamoja linapokuja sula la maslahi ya nchi @mangekimambi
@Roma_Mkatoliki Alafu Mama kajifungua na kichanga kaishi nacho kwenye container kibaya zaidi anakula samaki wabichi na maji ya kunywa yameisha oya nomaa @Roma_Mkatoliki