HABARI MBAYA
Leo Wilaya ya kahama kata ya Bulyanhulu kijiji cha Kakola Vijana watatu wametekwa Mchana
Wa kwanza kutekwa alikuwa Ibrahim Muhidin Mfangano Nyumbani kwao Mbele ya Baba yake Mzazi Mzee Muhidin Mfarangano,Mzee Mwidimi ameshuhudia Mwanaye akitekwa
Wakati anatekwa alikuwa na Wezake walipojaribu kumsaidia walipigwa na kutishia Bastora
Vijana wa Boda walijaribu kufukuzia Gari iliyomteka na kila walikuwa wakikalibia walikuwa wanatishia na Bastora
Vijana wezake walifanikiwa kufika Polisi kabla ya gari ya watekaji hajapita kituo cha Polisi lakini Polisi hakuwa na Msaada wowote na gari ya watekaji ilipita na polisi wakaishia kukimbiza kwa nyuma gari ya watekaji
Wakati Vijana wa Boda boda wanafukuzia gari ya watekaji ilitokea gari nyingine na kuwateka vijana wengine wawili wa boda waliokuwa wanawafukuzia
Mpaka sasa wakekaji wameondoka na Vijana 3
BREAKING: Kapteni John Charles Tesha ni mwanajeshi halali wa anga. Tumepata intake slip yake, intake 58, mkufunzi SAK (Airforce) tokea July 2022. #TanzaniaLeaks
Mjue Captain John Tesha intake 58, mkufunzi SAK (Airforce) tokea July 2022 Name tag JC TESHA ie JOHN CHARLES TESHA, A1 katika column ni code kuwa yupo ACTIVE, tarehe 25 July 2022 ni Pr. SAK ni Shule ya Anga ya Kijeshi, huyu Captain ni Mkufunzi mtalaam wa Silaha za Anga.
BREAKING: Captain wa anga Tesha amemshauri CDF kuchukua hatua na asikubali nchi kuingia kwenye uchaguzi usio na haki. Aseme mafisadi wote ambao wameiibia nchi wakamatwe.
Confirmed Huyu ni Captain Tesha ni Kamanda Kutoka Kikosi cha Anga..
Jamaa Kaamua Kujitoa Kwaajili ya WanaNchi na Kasema Kua Wanajeshi Weeeengi Sanaa Wapo na WanaNchi Wanauga Mkono Madai yao... 🫡✊
Leo asubuhi wakati naelekea Mazoezini nje imekuja Cruiser Nyeupe (zile za watekaji), wameshusha vioo na kuanza kuniita kwa AMRI, nadhani walinichukulia poa, Mungu alinipa akili ya ajabu nikatoweka mbele yao.
Tafadhali, tupambane huku tukichukua tahadhari.
TUTASHINDA VITA HII.
I cannot prove it today, but I feel it deep within that 2025 will mark a turning point; one of Tanzania’s greatest years since colonial rule was broken.
TANGAZO
Oktoba ni Maandamano kwa Nchi Nzima GEN-Z255 Tuamke Maandamano Sio Kosa la Jinai ni Haki yetu Kikatiba kupinga yale tusiyo-yataka.
Tukatae KUITWA Watu wa Maneno na Hasira zetu zipo Mitandaoni tu, tukatae hizi kejeli za Mtawala
Tukiungana Tunashinda.
#OktobaTunatoka ✊
Maskini wanatumika kuwatisha maskini wenzao kwa manufaa ya watawala (matajiri),,hata kipindi Cha ukoloni ilikua hivihivi,,nyapara walitumika kuwanyamazisha waafrika wenzao kwa manufaa ya wakoloni
Chadema ni Mpango wa mungu pamoja na hujuma zote na mipango niovu kutoka kwa watawala dhidi yetu bado tumesimama imara zaidi ya jana .Tumeshiriki kumuaga binti wa mwanachama mwenzetu kwenye send off yake kama ishara ya upendo na kumtakia kila la heri katika maisha yake Amina.
@HecheJohn Tatizo walichelewa watanzania saivi tunaimani na uongozi wa chadema wasasa kuliko ulio pita na ndiyo maana tumeamua kuanza na mabadiliko ya lazima kwahyo said na wajinga wezako wanao kutuma mmekwama ngoja tumalize ukombozi tutawafata mutwambie wanao watuma atutacheka nanyie..