Consistency ya Maombi yao kwetu baraka zinawafikia mpaka wao.
Mama SATIVA na Mama Taivina mtakutana nao Road huko msisite kuwapa msaada wakikwama barabarani.π
Nimesema TAIVINA ana njaa kweli ila sio njaa ya Hela naona mnapiga kelele.
Kijana wangu KESI ya milioni 100 humfungi naona mnapiga kelele.
Sasa Hiyo Binance USDT 10K ni pesa za kula tuu na kusumbulia mjini-kesi ya MILIONI 100 Unamfunga?
Kuhusu huo ujenzi ni sehemu ndogo ya MENGI makubwa.
Tuoneni tuna njaa ila sio ya pesa.
Mungu wangu, umetoka kunitoa mbali sanaβ¦ leo nina fedha, magari na nyumba si kwa nguvu zangu bali kwa neema yako. Nanyenyekea nikisema asante kwa moyo wangu wote π€