@baroswahjr Structure no ya kitambo.. it aligns with neo classical architecture vizuri meaning ni ya zamani .. hii mongrel of a building iko Nairobi haifikii hii
@John63681549 Hii ni first floor. Kama ni mixer moja na crane moja itaisha saa tisa latest...... Kama watu wa koroga wako serious na kokoto na rock sand iko pia....