@kigogo2014 Shemasi lazima wachumia tumbo watatusaliti tu hawajui ni jinsi gan watu wamewapambania lkn till now hawatoa msimamo Kwa media Kama act wazalendo
@HildaNewton21 @hanje_nusrat @Twaha_Mwaipaya Fanyen mpango tuwachangie familia zao duh lkn kwa usaliti wa chama ulivyo acha tu wasote maana wakitok wataunga juhudi
Jamani hivi mafuta katika u himbaji wake yamegawanyika vp imean Kila aina ya mafuta huwa na kisima chake au huchimbwa kisima kimoja na baada ya kusafishwa ndo hutofautiana @babalao__ @RealHauleGluck @JemsiMunisi @Allien2030 @cyancuty @rollymsouth
#UZI
💨 AFRIKA - MUSSA MAREKANI - YOSHUA
💨 MUSA ANAWEZA AKAWA RONARDO ILA JOSHUA HAWEZI KUWA STIVE GERALD
Utawala unaweza kuongoza, uongozi hauwezi kutawala.
Amani, Imani sio za Human bali haki ndiyo yake. Hakuna shirika la haki za watu bali ni za binadamu.
#FLowMaTaTa 👇