My story is filled with broken pieces, bad decisions and some of ugly truth. But also is filled with major comebacks, peace in my soul, and grace that saved my life.
Deeds Not Words.
Follow @Allien2030
nikamjibu hapana siwezi, akaendelea "kwasababu huwezi basi angalia sana kuna jambo utalielewa kwa hao watu" kisha tukaendelea na safari yetu.
Retweet
@Allien2030
Katikati ya maongezi yetu tukiwa tunaelekea nyumbani baada ya kumuelezea mambo mengi akasimama na kunishika bega na akasema "subiri nikusemeshe jambo moja" nikatulia kwa ajili ya kumsikiliza.
Akaniambia "upweke usikufanye urudiane na kujiunganisha tena na watu walio na madhara kwako" nikatafakari maneno hayo ambayo aliyaongea kwa tabasamu pana na ndipo nikamuuliza ni kwanini?
Akanijibu kwa kuniuliza "kwani unaweza ukanywa sumu kwasababu una kiu?"
Haijalishi kuwa maisha yako ni mazuri au mabaya.
Wewe tambua kwamba ukisha amshwa asubuhi mshukuru Mwenyezi Mungu sababu bado unayo hayo maisha.
Bado lipo tumaini.
@Allien2030
Ishi Ukifurahi na Uhakikishe Unafurahi Ukiwa Unaishi.
Maisha hayana cha zaidi isipokuwa kula, kunywa na kufurahi katika siku chache za kuishi duniani Mwenyezi Mungu alizokupa.
Ukiangalia Sana Utaelewa Sana.
@Allien2030
Ishi Ukifurahi na Uhakikishe Unafurahi Ukiwa Unaishi.
Maisha hayana cha zaidi isipokuwa kula, kunywa na kufurahi katika siku chache za kuishi duniani Mwenyezi Mungu alizokupa.
Ukiangalia Sana Utaelewa Sana.
@Allien2030
Hata siku moja, usitupe upanga chini. Mkono wa kulia ukichoka, ushike kwa mkono wa kushoto.
Hata kama dunia yote haikuamini, mwamini MUNGU aliyeruhusu uzaliwe duniani, anaamini kuna kitu unaweza kufanya.
NB: Usiache kutabasamu, tabasamu ni silaha.
Mchana Mwema.
@Allien2030
Anaandika Japhet Nyangoro
Hata kama mikono inatetemeka kwa hofu ama kuchoka, kamwe usiachilie Upanga udondoke chini. Maana unaweza tupa chini upanga dakika ambayo adui naye alikuwa anataka kutupa upanga chini ajisalimishe kwako.
Unaweza kufunga biashara leo,
kumbe yule mteja mkubwa alikuwa anakuja kwenye biashara yako kesho.
Leo unaweza mvulia chupi mhuni akakupiga mimba, kumbe muoaji alikuwa anakuja kesho. Vumilia, endelea kusubiri.
Unaweza kuacha kutafuta kazi leo, kumbe tangazo la kazi utakayopata linatoka kesho.
Ni mambo mawili tu unatakiwa kuwa nayo katika kizazi hiki cha taarifa;
Moja ni hakikisha unakuwa na taarifa sahihi na la pili linafanana na lile la kwanza ni hakikisha una taarifa ambazo wengine hawana.
Ukiwa na hayo mambo mawili, watu watakufuatilia tu.
@Allien2030
Niliambiwa "jifunze kuwa sawa na kutoshirikishwa, kutoalikwa na kutozingatiwa. Maana watu huchagua watu wa kuwafanyia hayo, usiposikia basi ujue hujachaguliwa kwahiyo wewe tulia."
Retweet
@Allien2030