Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Adolf Mkenda, leo Januari 31, 2026 wakati akitoa tathmini ya mafanikio na utekelezaji wa ahadi za Rais ndani ya Siku 100 tangu ashinde Urais, ametoa wito kwa shule binafsi na za umma kuzingatia kalenda ya kufundisha ili kuwapa nafasi Wanafunzi kubadilisha mazingira.
Ikumbukwe, mara kadhaa Wadau wa JamiiForums wamekuwa wakilalamikia tabia ya baadhi ya shule kutozingatia ratiba na kutowapa Wanafunzi mapumziko, badala yake wanasoma mfululizo hali inayowanyima fursa ya kupumzika na kujihusisha na masuala mengine ya kijamii.
Kwa taarifa zaidi tembelea JamiiForums
#JamiiForums #ServiceDelivery #Accountability #JFElimu
@kimaramatosa@Abdul_Kitambazi@RahmaMwita Laki ndogo sana ukiwa unakula hapo hapo, una lala hapo hapo, hununui umeme wala hulipii maji wala taka,, wala kitanda hununui, ๐๐ ulipwe laki 8 usiishi pale,
@mkainerugaba God created everything thing with an END,, there was OBOTE, IDD AMIN and all, their END came,,, Nothing has been ever created without an END,, ๐