@Articulate____@SportsarenatzTz Tumia nguvu kuelewa mkuu yanga imeshuka kiwango sahihi kabisa lakini imeshuka kiwango juu ya yanga yenyewe hapa bongo yanga Haina mshindani
@mkalidayo30@FaradayMtz01 Mzee huo mji umeudharau sana kilometers 2 huo sio mji Tena ni sentatu kama isaka au kagongwa,katoro ni levo ya masasi na Tunduma, kahama ni level ya manispaa zote za mikoani
"Walimu wala msivunjike moyo kwa sababu tunaenda kuongeza mahitaji ya walimu kupitia utekelezaji wa mitaala mipya. Walimu wataendelea kupata ajira za kudumu hata wale ambao mmeshakaa muda mrefu." - Dkt. Mwigulu Nchemba, Waziri Mkuu
@giboretz Kahama ni habar nyingine ni baraa jingine hapa nchini mji ulio compact kwa kilakitu madini bize yani biashara habar nyingine ni mji ambao hauimbwi sana ni mji mdogotu unakua lakini kwenye issue ya biashara Kuna Miji na baadhi ya majiji hapa nchini yanasubiri.