Mwezi huu, nitasaidia Shillingi za Kitanzania Milioni 1 (au zaidi), au bidhaa/ huduma, kwa ajili ya hisani kwa wahitaji. Kwa ambayo itaweza ku-retweet kwa mara nyingi itaweza kujishindia zawadi hiyo. #MoGifts2022
Tarehe ya mwisho ni baada ya siku 7 kuanzia leo.
"Nimeona Mwenyekiti Mbowe alisema nimeongea kila kitu nilichozungumza na Rais, ila ukweli mambo ambayo nimeongea na Rais Samia na sikuyasema hadharani ni mambo ambayo hayakuwa ya umma, kwa maoni yangu Mwenyekiti Mbowe hakuwa sawa kusema vile kwenye mkutano wa Mama zetu"- Lissu
huna na Jana huku pata pesa kwa sababu hukufanya kazi, af leo pia hufanyi kazi. jaribu kujibu maswali ya tigo unaweza kuta we ni mtu wa michongo sema ulikua hujui tu. #djcontent
It is your choice to make it or not but if you don’t make yourself happy to from your surroundings, this time won’t come again, I try to make most of it as long as I have it https://t.co/sHMXwoaXjr