@Mchambuzi5 Sema kiuhalisia hao walio igiza hiyo movie au video ya diamond na zuchu yale yalioko kwenye video nimambo ambayo kwenye jamii yetu yaani Kama kwenye video ya diamond na zuchu zuchu kupokea sim wakati akiwa mazoezini ya kwaya hiyo ipo nanikawaida