@godbless_lema@Raphael53494775 Kunatofauti kubwa ya kupanga mji na kupima viwanja na kurasimisha. Sehemu zote karibia hapa Tz,tumepima viwanja na kurasimisha ila hatujapanga miji.
@PolycarpMDM Watu hawawezi kutofautisha kati ka kupanga mji na kupima viwanja! Dodoma,viwanja vingi vimepimwa,ila hakuna mji uliopangwa Tanzania hii yote.
@JozenGamba Ukifikiria sana,bongo Tv za HD tu ndio zinatufaa! Ving'amuzi vyote ni HD,quality ya 4k tu hatujafika,maana hata ukiweka internet (nayo inasumbua) Kufika huku ni matumizi mabaya ya pesa🤣