Nimefanya kazi na Wewe Ukiwa Naibu Katibu Mkuu wa @bavicha_taifa 2009 - 2014 , Umekulia kwenye Chama na umejitolea kwa zaidi ya miaka 12 Katika nafasi Mbalimbali, Sina hofu na Uwezo , Dhamira na Utii wako Kwa @ChademaTz , Nakutakia Kila lakheri, Ukawe na Ukaunganishe baraza.
Ukimwi ulianza kuopwa zaidi baada ya Wagonjwa na Vifo kuanza kuwa Dhahiri , Wananchi walishuhudia kwa macho namna Ukimwi ulivyokuwa kuwa una kondesha na kisha kuua Ndipo walianza kuchukua Hatua , Tusifiche Ukweli Kwenye hili Janga La Covid 19 ili watu wetu wajue Ukweli.@umwalimu
Ili wananchi wawe Serious na COVID 19 Serikali haipaswi kuficha ficha , bali iseme kinachostahili kusemwa hii itasaidia wale wabishi kuchukua tafadhari.Hata kama aliyekufa na Corona ni Mtu mashuhuri asemwe. @freemanmbowetz @umwalimu @MagufuliJP
Wewe RC @makonda_paul Sasa kwanini Polisi wanachapa viboko wananchi kwenye bar wakati wewe uliwambia wafanye kazi waache kukaa ndani ? Hawa Police wanaotembeza bakora hapa La Chaaz Lounge huoni wanakiuka maagizo yako ? @umwalimu @fatma_karume@freemanmbowetz@zittokabwe
Nilisema ZAMANI: ninasikiliza EXPERTS si Wanasiasa wanaoboboka tu. Nimekaa kwangu kimya kama maji baridi kwenye MTUNGI. Mambo ya kubabaishwa na WASWAHILI sitaki kabisaaaa! Maana tuliambiwa tuendelee kwenda Kanisani na Mskitini wakati Vatican na Mecca kumefungwa. I am not STUPID!
" Mpaka Sasa Nimepokea Tsh 1,642,710/= Michango ya Faini Ya Kuwalipia Viongozi wetu,Tumeshalipa na Wameshatoka na Tumefunga rasmi zoezi la Uchangiaji,Asanteni Wote Mliosimama nasi" Robert Mpemba - Katibu Wa @ChademaRukwa .
@ChademaKwela@ChademaNyasa@ChademaTz@NaftalNgogo
Nguvu Ya Umma Imefungua Gereza Viongozi wa @ChademaKwela Ndugu Patson Kipenya,Dismas Kirenga Pamoja na Stive Ngowo wa Mafinga waliohukumiwa Miaka 2 na miezi Sita Jela Wako Nje baada Ya Kulipiwa na Wananchi Faini ya Laki 6.5 Tsh.Asante Wote Mlioshiriki @ChademaNyasa@ChademaTz
Kesi Yetu inayonikabili mimi na Viongozi Wa @ChademaTz Wilaya Ya Mvomero katika Mahakama ya Mvomero imeahirishwa tena mpaka tarehe 14 May 2020. Shukrani za Dhati kwa Mawakili Wetu #Tarimo na @garubindi Pamoja na wadau wote mnaoendelea Kutuunga Mkono. @freemanmbowetz@ChademaK