Ushawahi kwenda @TRATanzania kwaajili ya Makadirio ya Kodi??
Je Maafisa wake huwa wanaishi kwenye Uhalisia wa Biashara?,Huwa Friendly kwa Wateja au Huamua wenyewe ulipe Kodi gani??
Hii ni moja ya madhara ya kutokuzingatia sheria za barabarani na athari hii huchangia ajali nyingi za barabarani.
Zingatia sheria za ubebaji wa mizigo kwa uhifadhi bora wa barabarani ili kuepusha ajali za barabarani
#ElimikaWikiendi#Ajalisasabasi
Waendao kwa miguu tunashauriwa kutumia maeneo ya vivuko kuvuka barabara kwa usalama, tuepuke matumizi ya simu na tutembee upande sahihi unaotuwezesha kuona magari yanayokuja mbele yako kwa tahadhari. #Ajalisasabasi#ElimikaWikiendi
Takwimu zinaonyesha idadi ya ajali na vifo vitokanavyo na ajali za barabarani huongezeka mara dufu mwishoni mwa mwaka; unazani nini kifanyike kudhibiti changamoto hii hasa tunapoelekea msimu huu sikukuu.? #Ajalisasabasi#ElimikaWikiendi
Tukiendesha Mafunzo ya Usalama Barabarani kwa Wanafunzi tukishirikiana na @tanpol Mkoa wa Lindi .Hakika kwa Pamoja tunaweza kuzuia Ajali Barabarani. Tunawashukuru DTO kilwa na Team Yake.
#Ajalisasabasi#RSApazasauti#ChangeRTA1973
Tukiendesha Mafunzo ya Usalama Barabarani kwa Wanafunzi tukishirikiana na @tanpol Mkoa wa Lindi .Hakika kwa Pamoja tunaweza kuzuia Ajali Barabarani. Tunawashukuru DTO kilwa na Team Yake.
#Ajalisasabasi#RSApazasauti#ChangeRTA1973
@ummymwalimu Unaonaje kama mngewaekea na list ya Hizo halmashauri za vijijini ili wazijue kabisaa wazijue Kabisaaa??
Na Je vipi Mtumishi ambaye masharti yake ya ugonjwa hayamruhusu kuwa huko??