RC IRINGA AMVAA MKADARASI AMPA SIKU SABA KUTINDUA BARABARA ALIYOJENGA CHINI YA KIWANGO
"Yaani tindua toa ili lote, Jenga upya kwa Gharama zako na ninakupa siku saba, hizi ni fedha za Serikali mnapopewa kazi lazima mfanyekazi mkiwa mmenyooka," @QueenSendiga Mkuu wa Mkoa Wa Iringa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye pia ni M/Kiti CCM TAIFA. Mhe @SuluhuSamia Ametoa salamu kwa wanachama wa CCM - Mufindi kutokana na msiba wa Mama mzazi wa M/kiti wa CCM W/Mufindi Ndg. George Kavenuke. Zikiwakilishwa na M/Kiti wa CCM Mkoa wa Iringa Ndg.Daud Yassin
"Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa miaka 5 tunaoutekeleza kwa sasa unatutaka tukuze mchango wa Uchumi na Ajira zinazotokana na Viwanda katika pato la Taifa. Hivyo mchango wa Sekta ya Viwanda ni asilimia 7.1 tunatamani tufikie asilimia 9 ifikapo 2025 - 2026". Dkt. Mpango.
FULL TIME: ๐๏ธ Liti Singida
SINGIDA BIG STARS 1-1 SIMBA SC
โฝ Kaseke 11'
โฝ Banda 59'
Simba SC imeshindwa kutamba mbele ya Singida Big Stars baada ya kulazimishwa sare ya 1-1. https://t.co/OY4KD1suKN
ALEXIA WAMOTO ๐ฅ๐ฅ BALLON D'OR 2022
Nyota wa timu ya Wanawake ya Barcelona @FCBfemeni , Alexia Putellas ameshinda tuzo ya Ballon d'or 2022 kwa Wanawake. https://t.co/FBS4d4r8Oy