@ciphalee_ NITAKUWA LIVE LEO NDANI YA FULL PACKAGE
YA @mufindifm (Saa 7-10 )TUTABONGA MACHACHE KATI YA MENGI...
HOST: @dj_bikei @edwinkb25 GRAPHICS: @alamaonlinetv
📷 @ciphalee_ & @HalimaYahya "DAVINA"
muigizaji wa Filamu anayefanya vema Afrika, Aliwahi kuondoka na Tuzo kadhaa kama vile#zikomoawards, #Tdfaairinga pia ana endorsement kadhaa kama vile #Shadaorg#davinacateringservice na nyinginezo.
✍️ @ciphalee
Uko wewe, Mama yako na mpenzi wako katika safari muhimu ya boti, Ile mnafika katikati ya safari boti inaharibika na haiwezi kuendelea,
Ila ghafla anatokea msamalia ambaye ananafasi za watu wawili tu kwenye boti.
Je utaondoka na nani kati ya mama na mpenz?
Happy Birthday to the late Coretta Scott King. She was an author, activist, civil rights leader and the wife of Martin Luther King Jr.
She wasn’t just the wife of an American hero, she was an icon in her own right.
A THREAD!