@mafolebaraka Tangu asubuh nilidhani wanakuonea kumbe mwanetu unachuki ya waz wazi, betting ni tabia ya mtu, akina sativa wanaliwa mikeka tunaona, wanashinda tunaona wewe unakuja kuwa msemaji wa walaji wa code zao, ulimskia nani katika watumiaji wa hizo ads akilalamik kuwa amepewa matango pori
@Maryftaddoh I know it
Asake do that music but it’s not purely, then talent, appearance yake, na character zake zingine zimemfanya awe pale alipo sio bahati mbaya
I don’t agree with you broda
Life isn’t fair, people workhard ila life linawalipa differently, parents uprbring better their children ila wanakuja kuwa mapunga ukubwani…
On the contrary, Maisha ni Fair kabisa, unless wewe unaona pesa bdio kila kitu.
Struggle yako inakujengea Character na Discipline, vitu ambayo unavi instill kwa watoto wako, na kujenga kizazi bora. Na hatimae Mafanikio yatakuwa matamu in the end
Anayekunywa kila weekend, atafupisha yake kwa kuugua Ini na Figo, na hela zitaishia kwenye matibabu na hazitotosha, na mwishowe kutowaachia chochote watoto wake zaidi ya bad habits na potential ya wao pia kuangukia in same path.
You reap what you sow… Laugh now, Cry later!! or vice versa…
Usitwseke na hela za watu.. si mali kitu
@__Baryna__ Rapcha ni mnoma sana, mashabiki wa dizasta pia ndo mashabiki wa rapcha but tuko more real kwa dizasta (Disaster fans) coz ana taste tofauti ambayo huipati kwa rapper yyt hapa bongo
United walichagua kimoja , take risk pembeni ya uwanja kwa FBs kukabiliana 1v1 dhidi ya Arsenal wingers ili kudumisha compactness ndani , hasa uwepo wa Jesus ambaye anaongeza overload vertically . Next step kukabiliana na cutbacks & crosses.!
Then do combinations play up top
@ManLikeFrey@MvungiUcha33@julip202 Anikumbushe nn? Serikali inayoongoza kujisahau hii.. watu hawatoki mnawabeza wakitoka mnasema kwann hawakukanywa.. mna akili za hovyo sana kutaka kushindana na wananchi instead of leading them toward their needs
@MvungiUcha33@julip202@ManLikeFrey Bas hakuna shida ila heshima imekuwepo, tarehe 29 mliona ni mzaha hamkuweka ulinzi cha moto mkakiona mliishia tu kuuwa watu now respect imekaa mkono wa kulia mnawachomesha jua askari wenu kama mahindi ya kuchoma