We will have to settle a contradiction: if you want a modernised agriculture, you can’t then rely on it for mass job creation. If you want to keep it labour-intensive, expect low productivity, food insecurity and no exports. In rich countries, about 2% of workforce is in farming.
Strengthen your link with your Maker. Don’t lose heart. Each day we’re being challenged from the outside and inside. Stay firm because for all your worldly troubles, eternal bliss awaits you. Focus on the task at hand and know that it’s temporary. Stay motivated.
Uzuri wa kiburi ni namna kinavyokuandalia anguko lako kwa ustadi mkubwa. Kwanza, kinakujaza ujasiri uamini wewe ni mtu mwenye akili zisizo za kawaida, unaona wasichoona watu wote na kisha kinakufumba macho usiuone ukweli unaouhitaji kwa kukuletea watu waliobobea kukusifu kama nyenzo ya kulinda maslahi yao.
Hapo kinakuwa kimekujengea imani kuwa unazo nguvu zisizo za kawaida za kufanya chochote unachotaka, kinakutenganisha na kila mwenye hekima unayemhitaji na kukugombanisha na watu ambao kimsingi wangekuwa na ujasiri wa kuona mapungufu yako.
Kikikufikisha hapo unaanza kuamini una uhuru usio na kikomo wa kufanya makosa bila usumbufu wala kuingiliwa. Kila anayeona makosa yako anakuwa tatizo. Unabaki kugombana na watu badala ya kujihami na adui. Unakuja kugundua makosa yako ukiwa umeshachelewa. Hata kile ulichofikiri unakipigania kinapeperuka. Tunakusahau.
Utu uzima ni pamoja na kujifunza somo la kufikiri bila kusema. Utu uzima unakusaidia kuusoma mukhtadha uelewe si kila unachofikiri ni cha kusema mbele za watu.
Utu uzima unakusaidia kutafuta namna bora ya kushughulika na ukweli unaoujua. Unajifunza kumbe si kila ukweli unaoujua ni wa kuusema kama ulivyo.
Kazi kubwa ya kiburi ni kukujaza ujasiri uamini unaweza kumfanyia mtu ubaya wowote umuumize na kutweza utu wake na hakuna kitu atafanya. Ukishakaa vizuri kwenye mteremko mkali wa anguko lako unagundua ulivyo mnyonge na hakuna kitu utafanya kujinasua.
A mark of emotional intelligence is prioritizing your values over your moods.
Immature people are victims of their feelings. Their choices are governed by fleeting sensations.
Mature people take responsibility for their reactions. Their choices are guided by lasting principles.
Are you planning to establish a Technology and Innovation Hub?
Tanzania now has the National Guideline for the Establishment and Operation of Technology and Innovation Hubs, which provides a national framework for the management and sustainability of these hubs.
You can access the Guideline through the link below.
https://t.co/iuWEZ6RPvT
@FarajaNyalandu@SuluhuSamia Unamjua Mwalimu Nyerere vizuri kuhusu CV yake ya uongozi, unamjua Mkapa vizuriii ambaye alikuwa kila mwisho wa mwezi anasababisha tunaenda kukaa kwenye miji ya watu kumsikiliza, Unamjua magufuli kuhusu uongozi wake kipindi akiwa waziri yaani sitaki kutaja wengine Samia si kiongoz
Nikiwa na Mgombea wa UENYEKITI wa CHADEMA TAIFA, Kamanda ODERO ODERO hapa mjini BABATI. Ninamshawishi AJITOE ili KURA zake ziende kwa TUNDU LISSU. Nitawapa MREJESHO.😂😂😂