@YerickoNyerereT Mimi naona unahangaika sana Mzee wa Mbutu kwa nini tusiiagize Mizimu yetu ifanye kazi yake hizi mahakama zinatuchelewesha tuu hata haya maelezo unayoyatoa humu hayasaidiii kitu sema tuweke mkeka km mechi za Simba mnyama ambavyo hua unaroga ili timu ishinde fanya hivo pia huku
@TomThomas_MD@iddynonga_ Point sana Mkuu hawa jamaa ni km soka wamelibaka tuu hua nasema waandishi hawa ni mazwazwa sana wanataka kumpangia Gamondi kikosi kwa namna ambavyo wanafikiria wao bila ya kujua kua kila Kocha ana falsafa zake za soka
@Khalidchukuchuk@kmcfc_official Hapo hupati hata point 1 umekua na wasiwasi kabla ya mechi kwa nn uanze kwa kusema alama 4 na sio zote ninyi wasemaji wa vilabu hivi mnafeli sana hutakiwi kua msemaji wa timu wewe