Nilisema mchana hapa kuwa ZUCHU anahitaji kutoa ngoma back to back watu wakatoka povu
Haya WCB jumapili wanaachia EP yake
Sikia nyie sisi ndio wataaalam ๐
A DRUG DEALER 2
Ilipoishia vijana wengi wengi pale mtaani kwetu walishawishiwa sana na Mkali kutafuta passport(hati ya kusafiria) na kujikuta asimilia 90 ya mtaa wana passport tayari kwa safari
Ila kulikuwa nasifa za mtu kuweza kupata deal hiyo ulipaswa kuwa na....