@mangekimambi ndio kwasababu ni wanafik na Vibaraka wa Makafiri base zote za marekani zipo ktk hizo Nchi ziloshambuliwa mpaka anga zao zinahusika kufanya mashambulizi
@bbcswahili wacheni upotoshaji , machawa wa magharibi...mbona maandamano ya marekani kule meanapolis hamutangazi ..mmeayafumbia macho...uchawa magharibi wacheni
@godbless_lema Marekani anataka kuiba Mafuta na Muisrael anataka azidi kutawala Nchi za Gulf kwa upana zaidi..mwenye kusapport Israel na marekani hafai kabisa katika jamii