@stocktz@lifeofmshaba Tapeli huyu wa leo alijenga chadema ambayo leo mnaiona ya kweli, Tapeli aliye wapika kina Heche na Lissu ambao pia mnawaona wanaofaa. Hakika chuki humfanya mtu kuwa kipofu kimaono
@fbuyobe@MarioNawfal@elonmusk Chuki ni mbaya sana aisee inauwa uwezo wa kufikiri inauwa uwezo sahili wa ku-reason vitu CHUKI ni kirusi hatari kwa afya ya akili ya mbeba chuki. Kwanini huoni mapungufu ya huyo mkongo instead you are biased on hating PK!!! CHUKI mbaya sana mkuu
@YerickoNyerereT Wasomi wengi wa nchi hii ni wajinga kudadeki wajinga haswaaaa Reasoning capacity yao imekufa kabisa bila google imekufa kabisa imekufa kabisa, chuki na roho mbaya zimewajaaa vilaza hawa wasomi uchwala wajinga kabisa.
@MkomboziHabari Kuna kitu cha kujifunza hapa then kuchunga maneno haiwezekani wananchi wawe na furaha na watu ambao wangine wanawaona ni maadui na hatari.