@ProLearner77@habibu_muhsin@wizara_afyatz Oya mi nina shida kama ya huyo jamaa, kwenye dashboard baada ya kujisajili Nida namba yangu inaonekana inatumika kwenye account ya STUDENTS, @habibu_muhsin kama umepata solution nielekeze
@joeselasini Kuwa na kampuni nyingine haimaanishi moja lazma ife, inategemea na ufanisi wa kampuni husika, kama kampuni haina watu wenye uwezo wa kuiendesha lazma ife. Kama logic yako ni sahihi hiki kitu kingeapply kwenye sekta nyingine kama usafirishaji, mawasiliano etc