gharama matibabu ya Ruge ni kubwa. "Gharama za matibabu kwa kule ni kubwa kwa siku inaweza kufika million 5 mpaka 6,Kemilembe Mutahaba 0752 222 210 hiyo ndiyo number ambayo watu wanaweza kutuma sms za pole, faraja na hata wengine ambao wangetamani kutuma chochote". Mbaki Mutahaba
@salim_alkhasas Wazo zuri na naliunga mkono asilimiazote ila huyu jamaa alikua kama mbeba lawama na mpaka sasa lawama anazo hata kwa mambo asiyoyafanya, swali ni je, itawezekana?
Nawapongeza wanawake wote kwa kusherehekea siku yenu ya leo na hasa kwa mchango wenu mkubwa mnaoutoa kwa jamii. Daima tutaendelea kuwaheshimu, kuwapa ushirikiano na kutambua juhudi zenu katika kujenga ustawi wa jamii yetu.
Naibu Meya wa Manispaa ya Iringa, Dady Igogo amejiuzulu wadhifa wake na kueleza kwamba ataendelea kubaki kuwa diwani wa kawaida.
Mstahiki Meya wa Manispaa hiyo, Alex kimbe amekiri kupokea barua yake kujiuzulu, japo haijaeleza sababu halisi ya kuchukua uamuzi huo.