@EduTalkTz@wizara_elimuTz@NectaTz Ngoja nicheke kidogo, maisha haya...,. Kuna mdada naye alisema " nashangaa wanaume wasio wapeleka wanawake zao KFC au pizza hut hawako romantic kabisa"
@Aduiwayanga Kumpiga mtu ni kosa kisheria, lakini kupeleka uchi wa mumeo hadharani ni ujinga na kukosa heshima, kwanini asipeleke hilo swala kwa wazee bila kumdhalilisha mumewe?