@MfalmewaX1 Hawa jamaa huwa wanalopoka kwa kufata mkumbo cristiano amechza kote anajua alaf kukummoja anakuja kusema jamaa anazeeka vibaya hawajiuliz why neyma alishindwa kubaki kwenye ile league
@officialshakuu Mitoto mingi ya kiume skuiz haiwez kutongoza sjui kwanin toka jichanganye na washkaji uzoefu utaupatia mtaan acha kujifanya introvert huo ni ufala
@ItochoJoseph@fumbokhanJr We usie na raana wala hauimbi matusi umemzidi nin?? kama ana raana mbona anafanikiwa zaid ya nyie msio na raana acha akili za kimaskin kuongelea maisha ya watu mtu akifanya jambo ziri pongeza so kuleta hasira za kimaskini
@MicJohn90@prossoff We kama unaona anachoongea hakikufai puuzia tu endelea na shughuli nyingine kwasababu hajakulazimisha yeye ametoa madin kuelimisha vijana wajibu ni wako kuyachukua au kuyaacha