@eastafricatv@halimamdee huyu naye kumbe yupo? zile kick za M4C zilizokuwa zinzmpa kichwa ndo kwa heri now days amna cha maana nikutaftiza tu cha kusema
Mtu anakuja kwako anapiga hadi magoti, anagalagala had kulala chali kwenye magari au matope ili umwajiri/umchague ili akuhudumie. Kisha unageuka na kuanza kumwita "Mheshimiwa" na kumpigia magoti wewe mwajiri wake! Here's where we went wrong!!!!
Not a fan of Lumumba kwa kweli ๐ ila hapa kapatia
Unakuta mtu risala nzima anaeleza mafanikio - infrastructure and planes!
Ukihoji mafanikio wanatumwa proxies kuongea masaa 2 ๐คฃ๐คฃ
Kazi sana aisee!
Yaani ni hivi: hayo "mafanikio" si tunayaona? Relax! #TutaelewanaTu
Usipo elewa na hapa basi tu wewe kichwa chako kitakua mgando. Ccm wanatuchezea mchezo. Kwa bahati mbaya hapa tanzania hakuna media inaweza andaa habari kama hii.
Ila zuhura sauti inanitoa pangoni,
@YerickoNyerere@halimamdee@HecheJohn@MhangaTalanta@HildaNewton21