Tatizo hamjui mnasimamia wapi,hiyo biden ndio kinara wa democracy hivyo ndio adui kwa marais na serikali kama tz,Rwanda,Uganda,Burundi nk,nowday mnajifanya mnaegemea kwa biden sio trump ambaye Sera zake na zenu hazina tofauti?
@marshmellovibee@mck8891@mshambuliaji Kwanini asikamatwe kwa mfano lets go to Vienna accord. We ndio hujui diplomasia kenge wee!! Kaongozana nao ili kutafuta international attention nothing more. Mabeberu wamechemka big tym kidiplomasia ngoja Biden aingieπ€£
@JonMrema Watu mnataka msimamo wa chama,ila mnasahau chama ni taasisi,inaendeshwa kwa taratibu na vikao,mbona kama mnataka kupreshalizi viongozi,tutulie wafanye kazi yao,watakuja na muelekeo na maamuzi,lkn kila mtu anaongea lake as if chama kinaongozwa na wahuni.
@Mr__Spana@ThatBoyKhalifax Mtu ambaye ana deal na biashara ya utalii as a family toka nyerere huko mnadhani ana shida gani,kama walimbomolea billycans, wakaharibu mashamba yake,juzi sabaya kavamia na moja ya hotel zake na bado he's strong,kama walidhani wanamkomoa mbowe wamefel sana
@Mr__Spana@ThatBoyKhalifax Hivi mnachangiaga maoni kwa kutumia kichwa au matako,yaani mbowe ni wakuhangaika na hizo ruzuku za serikali,mtu mwenye vitega uchumi marekani,ulaya na Dubai toka nyerere,atatolea macho vijisent hivyo
Imani yangu na kutoka ndani ya moyo wako navyokufahamu,najua kabisa haya yanayoendelea nchi hii,mheshimiwa navyokujua misimamo yako pamoja na mambo mengine yote,najua huu uchaguzi haujakupendeza kabisa ni vile huna namna tu kutokana na mazingira yalivyo ya system.