Kwenye mapambano yoyote vitu muhimu vya kwanza unapaswa kuvijua kutoka kwa
opponent wako ni strength & weakness zakeโฆ.Hii ni muhimu mno!!
Unadhani ni wapi anapata hii confidence na courage ya kuendelea kuongea alichokiongea leo?
Pamoja na pushing kubwa tunayoendelea kuifanya nje na ndani!?
Haonyeshi kujutia,
haonyeshi ku-sympathize na wahanga,
sana sana anaonyesha yuko
tayari kufanya tena!!
Anajua fika speech itaenda mbali na kufikia hadi taasisi za nje, na itaumiza watu na kuwatia hasira!!
Ni nini kinampa hizo guts?
Hili ni muhimu sana kulitafakari na kulijua!
Kwanini maandamano ya baada ya Uchaguzi hayajasababishwa na wanaharakati wala wanasiasa wa upinzani
My latest for @bbcswahili ๐๐พ
https://t.co/V5JkpMJjm8
@josby992@LaurentRafael4@TunduALissu post ya Lisu haihusiani na movement za Urais, inahusiana na kesi yake zidi ya tigo na waliotaka kumuua.
Ndoto kila mtu anazo ni namna approach inavyotumika kuzifikia, kwa sasa kutokana na tume ya uchaguzi kutokua huru, yaani mkwe ndie anaesimamia uchaguzi, ni ngumu sana kwa Lisu
Maoni Yako ni Muhimu. Tafadhali jaza utafiti huu wa dakika-2 wa Kiolezo cha Mtazamo wa LGBTQI+ kutoka shirika la F&M Global Barometers ili utusaidie kuelewa hali ya maisha yako kama mshirika kwa kundi la LGBTQI+. Ni wa siri na haukutambulishi.
https://t.co/Y37bZ5n6lr
@HassanNaheed1@TunduALissu mbona unajichekesha kama shoga, mwenzio kachangiwa zaidi ya 200m wewe umechangiwa kiasi gani, na bado tigo lazima wamlipe fidia
@Che_Guevara0001 @TunduALissu hakuna kitu hua kinafutwa kwenye system permanently, hata flash yenyewe ukufuta una recover, sembuse system ya mawasiliano!
By the way aliyepo mahakamani ambae alikua mfanyakazi wa @Tigo_TZZ ana ushahidi wote na ameshawasilisha.
@ramasizya@TanzaniaLeaks Hivi Masters unayo ya fani gani? ๐ ๐
Haya ni matokeo yaliyotoka jana ndani ya mahakama za huko Uingereza yakitoa uthibitisho flow of commands kupitia mawasiliano yaliyovujishwa, ungekua wewe umefanyiwa usenge ule ungekaa kimya? Wacha pachangamke, Lissu apate hake yake
@ChrisExcel102 Why you people post videos like this,where is your senses,where is your respect,where is your dignity,where is your morals?? And where is the full video??