@Tanganyikan@bwaya Dogo alikuwa na shida ya kuongea, nikampeleka kwa specialist ccbrt akaniambia niache kumwekea katuni, acheze na watoto wengine nje lasiivyo atachelewa sana kuongea au atakuwa mzito.
@zoetjesheeftX Hii michezo ya wamakonde. Mitaa ya tegeta, madale unakuta nyumba hazijaisha,mlinzi kaachwa kijana mpaka Kawa na familia na anaishi hapo hapo na watoto