Wakoloni walisema hayo hayo.
Madaraka ni ya wananchi.
Wakichoka CCM watatoka.
Lakini Sitaki CCM itolewe kwa VURUGU nataka kuona PEACEFUL TRANSITION of power kwa njia ya SHERIA.
Marekani tayari wametoa barua kwa serikali ya @SuluhuSamia kwamba wanasitisha misaada yote. Sasa tunategemea Samia na serikali yake watakuwa na nidhamu kwenye matumizi ya pesa za Umma.
Mambo ya misafara ya Rais mirefu magari zaidi ya 100 yakome, kununua magari na ndege za kifahari kwa ajili ya viongozi yakome. Mambo ya Abdul na mr. Mapete wa @MariaSTsehai kutapanya pesa za Umma huko Dubai na kwingineko yakome. Pesa za Umma sasa zijikite maeneo ambayo yalikuwa yanaendeshwa kwa ufadhili wa serikali ya Marekani.
Mbunge wa Jimbo la Nzega Vijijini, Dk. @HKigwangalla, ameonya kuwa kupungua kwa fedha za wafadhili katika sekta ya afya barani Afrika ni changamoto kubwa inayohitaji hatua za dharura kutoka kwa serikali za Afrika.
Kupitia ujumbe wake aliouchapisha katika ukurasa wake wa mtandao wa X (zamani Twitter), Dk. Kigwangalla amesisitiza kuwa nchi za Afrika zinapaswa kuwekeza zaidi katika sekta ya afya ili kuhakikisha huduma bora kwa wananchi wote.
“Muda wa kutegemea wafadhili umepita. Ni lazima tubuni mbinu mpya na za kisasa za kugharamia afya za watu wetu,” aliandika.
Ameeleza kuwa ni muhimu kuwa na mikakati madhubuti kama vile bima ya afya kwa wote, kodi maalum za kulipia bima kwa watu wasio na uwezo, pamoja na kuhakikisha kila mtu anakuwa na bima ya afya.
Dk. Kigwangalla, ambaye ni mtaalamu wa afya ya jamii mwenye shahada ya udaktari wa binadamu na shahada ya uzamili ya afya ya jamii (MPH), ametoa wito wa matumizi ya raslimali kwa uwazi, ubunifu, na uwajibikaji ili kuboresha mfumo wa afya na kupunguza utegemezi wa misaada ya nje.
Kauli yake inakuja wakati ambapo mataifa mengi ya Afrika yanakabiliwa na changamoto za kifedha katika sekta ya afya, huku huduma za msingi zikihitaji uwekezaji mkubwa wa ndani.
Kuanzia leo NAWAOMBA SANA watanzania wenzangu TUMUOMBEE ndugu ROSTAM AZIZ kwa UZALENDO wake kwa TAIFA LETU kuhusu MAHAKAMA YA KISUTU KUPIGIWA SIMU. Tumpe 🌷💐🌹 yake.
Update za Mahakamani.
Kutoka Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo unatarajiwa kusomwa uamuzi juu ya uhalali wa hati ya mashtaka kwenye kesi zinazomkabili mwanasiasa mkongwe nchini Dkt. Wilbroad Slaa.
Dkt. Slaa hajafikishwa mahakamani hapa na sababu iliyoelezwa na upande wa jamhuri kuwa ni uwepo wa changamoto ya usafiri(gari) ambalo lingetakiwa kuwaleta washtakiwa katika mahakama hiyo.
Jibu hilo limetolewa baada ya wakili wa Dkt. Slaa, Peter Madeleka kuhoji juu ya kutofikishwa mahakamani kwa Dkt. Slaa.
Mpina yuko sahihi💯 kabisa kuwa kuna WAHAMIAJI HARAMU na ni Viongozi kwenye serikali hii ya CCM.Hata Mkuu wa Majeshi (CDF) J. Mgunda alilisema hilo mbele ya raisi Samia. Ila hakuna alilofanyia kazi.
NB:Mimi sijamtaja Waziri, HUSSEIN BASHE wala Makamu wa Raisi PHILIP MPANGO🚶♂️
PAPA WA KATOLIKI...
Kusubiria CCM waiendeleze na waiboreshe Tanzania, ni sawa sawa na Wakatoliki kusubiria PAPA atokee SAUDI ARABIA.
Wengine mtakuja kunielewa MKIFUFUKA!!
BINAFSI nikionaga sijui TRA sijui NMB sijui NSSF sijui jengo lolote la SERIKALI linawaka moto hata SISTUKAGI maana najua huo ni MCHEZO wa WATU juzi amewapa TUZO TRA jana wamechoma moto na nyaraka na kumbukumbu zimetekeea huyu mama wajanja wanampiga sana KIBUNDA 😂😂😂😂
HONGERA SANA @YerickoNyerereT kwa kukutanishwa na Wakili Msomi @MMatojo chini ya URATIBU wa Naibu Katibu Mkuu Bara @golugwa na KUWEKA UKWELI HADHARANI kuhusu KUCHUKUA ANDIKO la Wakili MATOJO. Huo ndiyo UUNGWANA.
Wakati wa uchaguzi wa ndani CHADEMA, mbogamboga walichimba kaburi wakisubiri tugawane mbao, watuzike. Uchaguzi umemalizika, wameingia wenyewe kaburini. Kwa matumizi ya baadae, Wasira amepewa kazi ya kutoa maji kaburini.
@masoudkipanya; Michelangelo Buonarroti of our time. 🙌
#TANZANIA: WAKILI LISSU NDANI YA CHUMBA CHA MAHAKAMA TAYARI KWA KUMTETEA DKT. SLAA
Mwenyekiti wa @ChademaTz na Wakili msomi, @TunduALissu akiwa katika chumba cha Mahakama Kuu tayari kwa kumtetea Dkt. Wilbroad Slaa ambaye anakabiliwa na tuhuma za kutoa taarifa za uongo mitandaoni.
Kesi hiyo inaendelea muda huu huku jopo la Mawakili likiongozwa na Wakili Msomi, Tundu Lissu, Peter Madeleka, Dkt. Rugemeleza Nshala, Deogratias Mahinyila ambaye ni Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Taifa (BAVICHA) na wengineo
Ndani ya CCM yupo huyu mwanaume MH @LuhagaMpina ambaye
afungamani na wale jamaa.
kanyooka sana, sijui ilikuwaje akakubali kucheza team mmoja na wale madhulumati.
Ndani ya nchi hii MH mpina ndiye mbunge pekee wa CCM ambaye avai mabango ya SSH na sio chawa Kama wengine 👇