@pastajoshuatz Mi nasemaga HAKUNA MUNGU, HAKUNA SHETANI, HAKUNA MOTO,HAKUNA MAISHA BAADA YA KIFO ila naambiwa nimechanganyikiwa..basi sawa kama kweli Mungu yupo basi sio huyo anaesemwa kwenye hizo dini,ni kama wametengeneza Mungu wao wakampa na sifa ili wote tulazimike kumuamini na kumfata.
@Santacia Mbona Kwa pharmacy ni kawaida sana hiyo sijui kwanini umekuwa shocked..me nazijua pharmacy kama nne zinazidi hayo mauzo na hata hazipo dar,Kuna moja niliikuta mgodini
@MziziMbichi@Timbertzaa Akili yako fupi unahisi Kila asiyeamini kwenye unachoamini ni upinde.we endelea kuwa mtumwa wa hizo dini si umeambiwa utaenda mbinguni pambana uende
I've been listening to Michael Jackson's songs lately like word by word,kuanzia lyrics,flows, deliverance hadi dance moves ๐itoshe kusema jamaa alikuwa talented sana,as a genZ natamani ningeshuhudia maajabu ya huyu jamaa,so sad nina experience Muziki kipindi role model chino๐
@kariakoo_KID Mimi nliacha kuwaita wazazi sijui Mungu wa pili,sijui mara mzazi hakosei..tena ukitumia akili ukaweka hisia pembeni wazazi ni miyeyusho kuliko hata sisi..wanajificha kwenye kivuli cha neno 'laana'..kitu kingine mzazi anakutumia ili kutimiza ndoto zilizomshinda yeye mf kujenga๐