5. Lugha na sauti. Principle ya hawa jamaa ni "the higher the volume the worse". Kitu hawa viumbe hawapendi ni makelele, wanapigiwa Sana makelele huko kwenye mihangaiko yao ukianza na wewe utagusanisha nyaya. Mpe anachokikosa huko duniani yeye atakupa vyote alivyopata duniani..
@prossoff Ni basi tu jamaa naona km anataka kushupaza shingo, jibu ametupa kabisa mwenyewe hapo kwamba ndoa hapana. Aendelee kupigania ndoto zake ila sio kurudi kwa hiyo mama.