Ile kauli ya mama inaonyesha kabisa edha hana washauri wa wazuri au ni kukosa kwa hekima maàna huwezi kusema nauli zitapanda bei na vyakula vitapanda hakuna wa kuzuia stupid🚮
Tutalaumu sana ila wale wakulungwa wa Sekretarieti Ya Ajira ni game changer, Kuna jirani yangu kabisa kutokea Inyalikungu kalelewa na bibi yake wazazi walifariki 2002 no connection zaidi ya Mungu kapata kazi B.O.T sasa hivi anajilia marupurupu kama mpumbavu alifaulu tu usahili