Kila mchango una thamani, bila kujali ukubwa wake.
Kila anayechangia anaweka jiwe muhimu katika kufanikisha Baraza Kuu la Umma na kuendelea kujenga chama imara cha Watanzania kwa maslahi ya Watanzania.
Simama upande wa umma kwa kuishika mkono CHADEMA.
🚨LEO TUNAAMKA NA HABARI KUBWA ANZA KWA KUREPOST.
COMMONWEALTH MINISTERIAL ACTION GROUP
WAMETOA RATIBA YA HATUA ZA UTEKELEZAJI KWA TANZANIA NDANI YA SIKU 30, 60 NA 90
Pamoja na mambo mengine Serikali haram ya Nduli Idd Amin Mama imepewa siku 30 iwe imetatua suala la kuzuiliwa kwa Mhe. @TunduALissu kupitia njia ya kisiasa na kisheria lakini pia kuwaachilia huru watu wengine wote wanaoshikiliwa kwa sababu tu ya kutumia haki zao za msingi kwa njia ya amani.
Ndani ya siku 60 wameambiwa warejeshe upatikanaji kamili wa majukwaa ya kidijitali (digital platforms) kusitisha vitendo vya vitisho na unyanyasaji dhidi ya vyombo vya habari na watetezi wa uhuru wa kujieleza.
Ndani ya siku 90 wahakikishe waitishe jukwaa la kuaminika na shirikishi la mashauriano kati ya vyama vya siasa, likiwa na wawezeshaji wasioegemea upande wowote yani Jukwaa hilo liwe na mamlaka ya kujadili na kukubaliana kuhusu marekebisho ya mfumo wa uchaguzi, ushindani wa kisiasa, suala la watu waliowekwa kizuizini na uwajibikaji.
Lakini pia wametoa Onyo la Septemba 2026 kwamba Tanzania imeamriwa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa mambo hayo kabla ya mkutano maalum utakaofanyika Septemba 2026.
Onyo la Novemba 2026 (Hatua Kali): Jumuiya ya Madola imetoa onyo la mwisho kwamba isipoona maendeleo yoyote kufikia Novemba 2026, itachukua hatua kali zaidi dhidi ya Tanzania (ambayo kwa sasa tayari ipo chini ya uangalizi kwenye Agenda Rasmi
Acha kuendelee kuwaka.
TUTAKUWEPO🫵🏾😎
Imagine being us..!!
Hapo hakuna kusombelea watu kwenye maroli kama ng'ombe za mnadani.
Hawa ni wapenda HAKI walioamua kushiriki mkutano wa wapigania HAKI (IBADA).
Na baada ya IBADA takatifu ya HAKI, wameshiriki kutoa SADAKA (TONE TONE).
IGA UFE.
REPOST 200.
TAARIFA KWA UMMA: SOLIDARITY NA WANACHAMA WETU
Mnamo tarehe 19 Juni 2026, Mahakama ya Mwanzo Kizumbi imewahukumu wanachama wanne (4) wa CHADEMA Kata ya Lyabukaende, kifungo cha miezi minne gerezani au faini ya Tsh 300,000 kila mmoja kwa madai ya “kufanya fujo” katika mkutano wa Mkuu wa Wilaya ya Shinyanga, @Julius_Mtatiro
Hukumu hii ni muendelezo wa mbinu za kukandamiza sauti za mabadiliko na kuwatisha wananchi. Waliohukumiwa ni;
1. Masele Bahati Lubongeja
2. Raphael Henri Masangwa
3. John Charles Mashenene
4. Zephania Lugwisha Maduhu
Wakati tukijipanga kukata rufaa, tuonyeshe mshikamano (Solidarity) kutoka kwa kila mpenda haki kuchangia faini zao ili wasiende gerezani. Jumla kuu inayohitajika ni Tsh 1,200,000.
JINSI YA KUCHANGIA:
M-PESA: 0764 662 049
Jina: CHADEMA KANDA YA SERENGETI
Tuliwaambia kuwa Samia alichokifata kwa Putin ni msaada wa kutokuwajibika na vifo vya October 29. Alichokifata Moscow ni ulinzi wa kuachwa madarakani bila kuchaguliwa na wananchi.
Hiyo hegemony hapo maana yake ni nchi flani kuwa na nguvu kubwa ya kisiasa, au economically juu ya nchi zingine. Au kwa kiswahili hii hegemony unaweza sema ni mamlaka, yani nchi flani kuwa na mamlaka juu ya nchi ingine. So Samia na Putin wamekubaliana watapambana dhidi ya hegemony ya Marekani na Western countries ili Samia awe free kuua na kuteka Watanzania bila kuingiliwa na nchi yoyote.
Ila Watanzania hata kama bado hatujashinda vita ila angalia tunashinda some battles along the way na tujipongeze. Aiseee 8 months later bado tumesimama kidete juu ya October 29 mpaka muuaji kakimbia kutafuta ulinzi wa dikteta mkuu wa dunia. Hakuna kutoa mguu kwenye gesi mpaka yeye na Putin wadondokeee pua….
Na nawahakikishia lazma kamuomba Putin amuulie Nchimbi kama itashindikana kumuondoa kupitia bunge. This I guarantee…..
@SenTedCruz@SenatorShaheen