Huyu Bishoo alitakiwa awe amezaliwa AMERICA YA KUSINI huko, huyu mama ake akiulizwa vizuri atasema mbegu ametoa wapi, hakuna Mbegu ya Kiarabu yenye uhuni huu 😄 🤣 😂 😆
VIDEO:
Mchekeshaji na mtengenezaji wa maudhui mtandaoni, Gasper Joseph Kagonda amesema matumizi yake ya neno 'Malawi' kwenye maudhui yake ni lugha ya picha inayotumika kufikisha ujumbe, na si kulenga nchi yoyote moja kwa moja.
Akizungumza katika mahojiano na Jambo TV, Gasper amesema maudhui yake yanayochekesha hubeba pia mafunzo na ujumbe kuhusu masuala mbalimbali ya kijamii.
Tazama mahojiano kamili kwenye Youtube yetu ya Jambo TV
@mwenyenchii Hilo gari sio la dully nila Abduli amemnunulia dem wake, Dully anayo kazi maana kila kitu kipya bongo nichake ukute hata huyo mtoto wako mpya niwa dully maana sio kwa utajiri huo
🚨 BREAKING : CAF imewakatalia Misri pendekezo lao la kuongezeka kwa timu kwenye michuano ya CAFCL
Ahly bado inali pressurize shirikisho la soka misri lipambanie kuongezwa kwa timu kwenye CAFCL
Mind you Msimamo wa National Ahly bado uko pale pale hawatoshiriki CAFCC
🚨 𝐔𝐏𝐃𝐀𝐓𝐄:Touré Ismaël Olivier has sent a large number of Simba SC jerseys to his hometown of Adjamé, Côte d'Ivoire🇨🇮🇹🇿
The gesture has been warmly received by the local community, with many supporters in Adjamé proudly wearing Simba SC colours and celebrating the club
Olivier's initiative reflects the strong bond he has built with Simba SC and its supporters, while also helping to grow the club's profile beyond Tanzania
#FootballOfAfrica
#MkadimbaJnrNews
#WeUniteAfrica