Kikeke na Kiba walidanganya umma kuwa wanaanzisha media.. kumbe ni ice boys wa Mchengerwa umbwa wale. Waulize wanamiliki media gani? Wana share kiasi gani? Ndio maana wanatumika kama TP!🚮
Wasafi media wamemchukua Haji Manara kuongeza nguvu kwenye kipindi cha jioni leo pale Wasafi Fm.
Apo kuna Haji Manara, Oscar Oscar, Eddo kumwembe na Adela
Aisee
Kwa mgeni wa jiji la dar es salaam Hapo pichani ni lango kuu la kuingia kiwanda cha ngano cha bakhresa. kwa kijana yeyote ambaye hauna mke wala mtoto nakushauri usiende kufanya kazi hapo.
1.Kwanza mshahara ni elfu 8 per day.
2.Kazi ni masaa 8 📌mchana kuna mapuziko ya dk 30 kwa ajili ya kula tuu ila wale wa night shift hakuna mapumziko ukiingia kuanzia saa 4 usiku kutoka ni saa 12 asubuhi mtambo wa kushusha ngano hauzimi hata kidogo.
3.Mshahara unalipwa ukishatoka tuu hakuna shida ya chenji hapo hela ishahesabiwa.
4.kila siku kazi zipo yaani hakijawahi kujaa wafanyakazi hiko kiwanda .
5.Hawajali qualifications za vyeti wala ukubwa Wa elimu.wewe jobless wa GPA ya 4.7 utapiga kazi na mtu wa darasa la 7 D kikubwa ni pumzi tuu.
DAR KAZI ZIPO NYINGI SANA😂👊📌
@mreno255 Sema labda ukiwa hujazoea kazi lakini sisi huku mwanza tushusha semi zikiwa na gunia za kutosha tena nikuanzia 100kg na hapo kwa hizo kg nikama tunakunywa chai sembuse hizo kg25 sijui 50kg nikama kunywa maji walahi
#TajiriLaKihaya
Humu ndani unaweza ona Manzi ni Independent…
Inamaisha mazuri, inajitoa Out 5 star hotels na snap za kutosha za kutupia kwenye Photo dumps,kizungu kingi kumaanisha msomi, corporate lady,iphone 15 hadi 17,mali saafi…
Ukaona ina hela…. Hadi pale utakapoanza kuDate nae💔
Mimi Ndio Chanzo Cha Albam Ya Diamond Kuitwa (FOA) Nayeye Alisema Jina Alitoa Kwa Shabiki.
Ilikua Ivi Alipost Instagram Akasema Ipe Albam Yangu Jina?
Mimi Nikaandika " FIRST OF ALL" Nikimanisha Kabla Ya Kila Kitu Nilikua Wakawaida Mno.
Kwanini Akunitag💔
Sijaheal Mpk Leo😰
#TajiriLaKihaya@grok Kwa kuzingatia Post hii pamoja na Walio Comment na KuRepost…unahisi ni VIGEZO gani vinapaswa kuzingatiwa kwenye kuwachagua washindi wawili- mmoja wa kike mwingine wa kiume???
#TajiriLaKihaya@grok Kwa kuzingatia Post hii pamoja na Walio Comment na KuRepost…unahisi ni VIGEZO gani vinapaswa kuzingatiwa kwenye kuwachagua washindi wawili- mmoja wa kike mwingine wa kiume???
Kama umeanza ujenzi ukienda kununua tofali usiende kama tajiri mwenye site.
Nenda kama fundi mkuu au mtu kati, jamaa wa tofali wanatoaga ganji kwa mtu anaeleta mteja.
Kwenye tofali elfu moja hamna hamna unaweza ambulia 30k, inatosha kabisa mifuko 2 ya cement kasoro elfu 3.
“Mke wangu naomba ruksa naenda kuangalia Mpira”
Mke wangu naomba ruksa naenda kuonana na rafiki yangu
Hivi kwa mfano ndio amekataa,, UTABAKI ndani?? Kama sio Usenge ni nini 😂😂
Bro to bro jua thamani yako kama M/ume,,, hutakiwi kuomba ruksa unatakiwa kutoa TAARIFA na aipokee.
Mwana Nyamala na Msasani ni maeneo ambayo wakazi wake wa asili walikuwa ni wamakonde
Hata majina ya mitaa tuijuayo leo katika maeneo hayo yanaakisi ukweli huu
Mwananyamala (kimakonde inamaanisha Mtoto Nyamaza "Mwana Nyamala")
Msasani ilitokana na kukaliwa na mmakonde maarufu kwa jina la Mussa Hassan. Wamakonde walikuwa wanashidwa kutamka jina hilo na kuita Muchachani ndio ikawa Msasani
Ulikuwepo?
MUHINDI kampa Uganda Odds 2–Tanzania kapewa Odds 3. Hapo inamaanisha Muhindi kamuamini UGANDA.
Sasa wewe leta UZALENDO wako ulale njaa. Sisi wataalamu kanuni yetu ni ile ile “kila anaecheza na TANZANIA muuwe TANZANIA”
TUTAKUWEPO🫵🏾😎