@YerickoNyerereT No wonder wakati wenzio wanafundishwa kuwa Mtu atatiwa hatiani kwa mashiko ya ushahidi wa anayeshitaki na sio ubovu wa Utetezi, wewe ulikuwa busy kutunga vitabu on how to get into power ili ukamuuzie Mbowe!
@Jambotv_ ACTUALLY, Waziri unataka kutuonyesha kuwa unajituma na kufanya kazi kwa bidii kwa Maslahi ya Taifa but the reality is - Si kazi ya Waziri kudeal na tabia za watu at personal levels!! Sheria tunazo na zinaelekeza wapi pa kwenda mtu anapokosewa. Acha drama and go do yur real job
Leo tarehe 2 Septemba 2026 natangaza rasmi kwamba; NITATOA TZS 1 MILIONI kwa ajili ya KUGHARAMIA MATIBABU YA FIGO ya mtoto wa mama ASHA MBARAKA. Ni LAZIMA tuoneshe โKAZI NA UTUโ kwa vitendo kwa KUOKOA MAISHA ya wenye UHITAJI.
@BabaMwita "Shahidi hapaswi kuhojiwa kuhusu jambo lolote ambalo hakulitamka wakati wa EXAMINATION IN CHIEF" - Hii kanuni tunaipata wapi mkuu?
Sorry to ask
Salaam, tukielekea CP Day 2025, itakayofanyika Oct 4 shule za Genesis Oysterbay, tunaomba support yako ya hali na mali tuweze fanikisha lengo kuu la kuchangia bima za afya kwa watoto wenye mtindio wa ubongo watokao kwenye familia duni. Tunatanguliza shukrani.
@Sir_Shuma@VungaEl74 Can't wait.
Without prejudice to Almight's powers, I'd recommend you kusoma mawazo ya Wanasayansi kuhusu sababu za "kutoanguka" kwa sayari kwenye Galaxy. Huko ndio utaona hao wasioamini kuhusu Mungu walishajitengenezea majibu ya hilo swali long time ago
@Sir_Shuma@VungaEl74 Unamaanisha ianguke kutoka wapi kuangukia wapi Mkuu?๐๐๐
BTW kuna makumi ya theories kuhusu kuelea kw particles kwenye galaxy.
@lord_nick61@godbless_lema Mkuu hii terminology "Public space" inatambulika kweli sehem yoyote ile ambayo tunaeza refer to backup your point?
Coz kama uamuzi unaobishaniwa ulitolewa na Halmashauri, then technically it's a public decision
JAMHURI WAKOSA SHAHIDI LEO BUNDA MAHAKAMANI:
Leo tulitarajia kuendelea na kesi ya jinai namba 21/2026 inayomkabili Yohana Kaunya na wenzake 20 katika Mahakama ya wilaya Bunda, lakini kesi hiyo imeshindwa kuendelea baada ya Upande wa Jamhuri kushindwa kuleta mashahidi kwa madai kwamba mashahidi wao wote 3 wanaumwa.
Kufuatia taarifa hiyo ya Jamhuri, mabishano ya kisheria yaliibuka mahakamani, Upande wa Jamhuri wakiomba Mahakamani kesi iahirishwe hadi baada ya sikuu za Eid.
Upande wa utetezi ulipinga hoja hiyo, na kusisitiza kesi iendelee Jumatatu na jumanne kama ratiba ilivyopangwa na Mahakama hapo awali. Kuhusu hoja ya mashahidi kuugua, upande wa utetezi uliikumbusha Mahakama kuwa upande wa Jamhuri uliorodhesha idadi ya mashahidi 41 hata kama wakiugua 10 bado, Jamhuri wanakuwa na mashahidi wa kuletwa mahakamani na hivyo tumeomba kesi hiyo iendelee Jumatatu na siku ya jumanne na kama haiwezekani kwao kuendelea wafute kesi hiyo.
Mahakama katika uamuzi wake imekubaliana na hoja za upande wa utetezi ambapo imeahirisha kesi hadi Jumatatu tarehe 16 na baada ya hapo kesi itaendelea tena tarehe 17 March 2026.
Ni ajabu ukawa na prod ha ya mashahidi 41 kwenye makaratasi halafu ukakosa shahidi wa kufika hapa mahakamani.
Latest update on Ngorongoro
The two Commissions report (1) Commission on land conflict (2) Commission on โinducedโ relocation from Ngorongoro to Msomera now release their report
Stay informed here
@swahilitimes People said these in a real time; hili na lile ni makosa yanafanywa kusudi na Serikali ila mkaishia kuwazawadia vipigo, majeraha, kesi za uongo na kila sina ya uonevu. Hamkukosea kwa bahati mbaya.