BREAKING: Kukatika umeme nchi nzima imetokana na ukata ndani ya shirika ambapo fedha za kununulia vipuri imekosekana. Hili ni tatizo ndani ya mashirika na taasisi za serikali. Fedha za kununua umeme zinaingia na kuchotwa moja kwa moja. Miundombinu ya TANESCO imeoza. Jiandaeni!
Kutoka Jangwani Kariakoo, hadi Atlanta, Georgia USA. Mtu aliyekuwa anatangazwa na sauti ya radi ya Mpenja leo anatajwa na Peter Drury. Fiston Mayele amefunga kwenye mashindano makubwa ya dunia na ametetema akiwa USA. Afrika imeweka historia, timu 9 kati ya 10 zimefuzu 32 bora.
Leo Makam Mwenyekiti Mhe. @HecheJohn ilikuwa afanye mkutano wa hadhara jimbo la Urambo ambapo jana Polisi walitoa kibali CHADEMA kufanya mkutano kwenye eneo hilo.
Leo Jeshi la Polisi Wilaya ya Urambo wamekuja na hii barua ya kuzuia mkutano wetu eti ni maelekezo ya Serikali haram.
Jeshi la Polisi linatekeza kila amri wanayopewa ndo maana Oktoba 29, 2025 walipopewa maelezo kwamba wauwe kila Mtu ambae watamkuta barabarani, waliingia mtaani na kuwamiminia risasi Watanganyika ambapo waliuwa watu zaidi ya elfu kumi.
Upolisi ni kazi ya kisenge sana.🚮🚮🚮
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema Serikali haina ugomvi na chama chochote cha siasa, bali itaendelea kutekeleza wajibu wake wa kulinda amani, usalama wa Taifa na Wananchi wake wakati wote.
Akizungumza leo Jumamosi, Juni 27, 2026 alipowasalimia Wananchi wa Wilaya ya Ikungi Mkoani Singida, Dkt. Mwigulu amesema Serikali haitamvumilia mtu yeyote atakayehusika kupanga, kufadhili au kutekeleza vitendo vinavyohatarisha usalama wa Nchi.
“Unalipwa ili ulete machafuko, hatutakuchekea, Vyombo vya Ulinzi na Usalama msiogope wala msimchekee mtu, analipwa ili awaumize Watanzania,” amesema Dkt. Mwigulu.
Amesema Serikali imeendelea kufuatilia taarifa kuhusu watu wanaodaiwa kupanga au kufadhili vitendo vinavyoweza kuvuruga amani ya nchi, na kwamba vyombo vya ulinzi na usalama vitaendelea kuchukua hatua kwa mujibu wa sheria dhidi ya wote watakaobainika kujihusisha na vitendo hivyo.
“Hatuna ugomvi na chama chochote cha siasa. Lakini tuna jambo ambalo ni kipaumbele, usalama wa Tanzania na usalama wa Watanzania,” amesema.
#MillardAyoUPDATES
Katambi ajitetea na agizo lake la kuzuia mikutano :'Sijakiuka Katiba', awashukia vikali CHADEMA
Akizungumza leo Juni 27, 2026,wakati wa maadhimisho ya siku ya wazee duniani huko mkoani Shinyanga, Waziri wa Mambo ya Ndani, Patrobasi Katambi amekanusha juu ya kuvunja Katiba na kueleza matishio ya amani ndio sababu ya kuzuia mikutano ya kisiasa.
“Wapo wanasiasa ambao wanasema,mmewasikia.Nimezuia vyama vyote vya siasa katika kipindi hiki chenye matishio. Hata CCM chama changu nimezuia, sasa ubaguzi unatoka wapi? Katiba hii nimeisoma kwa miaka yote shuleni, sasa leo eti kuna mtu hapo amekiuka katiba? Nani amesema tunavunja Katiba?,”amehoji Katambi.
“Hali na matishio ya amani na usalama yapo pale, taifa letu leo mmesikia kila mahali inaelezwa vijana wachache,kundi la watu wachache wadogo, ambao wanatamani madaraka kwa kutumia nguvu. Wanatamani madaraka kwa kuhongwa vifedha ili waumize Watanzania, wapeleke clip za video. Hawajafa watoto wao, Watanzania wamekufa, wao waje kupewa madaraka kwa mabavu,”aliendelea kufafanua.
Huu mradi wa SGR kadogosa lazima atakuja kutupa majibu mazuri.
Tuliambiwa Haya madubwasha yake yana POWER BANK ila kila siku ukikatika umeme na yenyewe safari zimeishia hapo.
KADOGOSA JIANDAE KUTUPA MAJIBU.
Tuliambiwa likikamilika BWAWA la Nyerere;
1. Umeme utakuwa wa UHAKIKA.
2. Umeme utakuwa wa bei nafuu.
3. Tutauza umeme nje.
Bwawa limekamirika miaka miwili sasa hakuna hata kimoja kimetekelezeka zaidi saizi tupo gizani NCHI NZIMA.
Tumerudishwa zama za MAWE.
Imani yangu kwenye mambo mengi imekuwa haba. Mna hujumiana sana sasa hivi , au usikute hii deal ni kama ya KATAMBI. Inaitwa “ Koroga mpake kinyesi zaidi” Kifupi KOMKIZA
ANAANDIKA ASKOFU BAGONZA PhD
JAMANI MSIMUONEE KATAMBI; SIYO MJALUO❗️❗️❗️
Ni Wajaluo tu ambao huwa wanasimamisha saa ili kuokoa muda wasichelewe wanakoenda. Katambi si mmoja wao. Yeye ni Msukuma gete gete🤣🤣
Tatizo siyo Katambi. Tuna mgongano sugu kati ya Majasusi Wanasiasa NA Wanasiasa Majasusi. Hawa ni watu wawili tofauti. Nitaeleza siku nyingine. Mnaoogopa kuchanganya Dini na Siasa, ogopeni pia kuchangana Ujasusi na Siasa.
Kuna mambo 9 yanayozua maswali:
1. Paschal Chinyele (Jasusi Mwanasiasa), kamrushia mpira Spika (Mwongozo). Spika akatuliza kifuani. Akampasia mpira Katambi (Mwanasiasa Jasusi). Katambi akajifunga goli kwa kuinuka na tamko la serikali. Imekaa saa ngapi? Kama ilikaa kwa nini wampange Paschal na Spika? Wameuza mechi.
2. Zuio la mikutano likatolewa bungeni. Tuseme ni bunge limezuia mikutano?
3. Limetamkwa na Waziri; Tuseme ni Waziri kazuia? Aliishapiga chanjo ya kumkinga na kirusi cha kuvunja katiba?
4. Waziri katamka neno eti kwa niaba ya Amiri Jeshi, Je ni Rais kazuia kupitia Waziri, tena kupitia mhimili mwingine? Msimchonganishe rais wetu👊👊
5. IGP kaagizwa kukiuka katiba. Atatii? Akitii, nani mkosaji? Aliyeagiza au aliyetii?
6. Kwa nini Waziri hakusubiri Waziri Mkuu ndiye atoe zuio hilo kwa niaba ya serikali wakati anaahirisha bunge?
7. Kwa nini serikali isitumie TCD au Msajili wa Vyama, wakaitwa wadau na kushawishiwa wakubaliane kuvunja katiba?
8. Je ili zuio/katazo la mikutano au zuio/katazo la kutumia katiba; yaani kwamba imeenda likizo kwa muda?! Hatua hii hufanyika nchi ikiwa vitani au wale jamaa zangu majirani wa Wajaluo wanapoamua kuchanganya cha Arusha na siasa🤣🤣. Sasa tunaomba katiba mpya ya nini ikiwa iliyopo haina kazi mpaka inaenda likizo??!!
9. KWA UPOLE: Hivi mikutano ya kisiasa ni haki ya kikatiba au ni fadhila za serikali kwa wananchi. Pleaseee nimeuliza kwa upole tu.
USHAURI: Kwa kuwa umeanza kama mchezo wa kuigiza, tujifanye igizo limeisha, tuendelee na mishe mishe zetu za weekend.
HALAFU: Msiende kubugudhi wageni kwenye hoteli usiku wakati wa doria. Mtaona yasiyowahusu. Ishia mapokezi kwa kunyata. Kama kuna Mjaluo anataka kuandamana, sibiri kupambazuke, mdake Tanganyika jeki hata kama Tanganyika haipo, mpeleke kwa Polisi siyo Safe House.
MAKATAZO HAYA: Yaishie hapo kwenye siasa. Msiguse mikutano ya dini, harusi, jando wala Yanga atakapomfunga Simba.
Gudubai, Wajaluo kuweni macho, kuna jamaa ana kisu kikali na anatahiri bila ganzi🙈🏃🏃🏃
Hawa mbogamboga kushindana kwa hoja walishashindwa,
Wametumia mahakama kupumzika kama mwaka 1.
Wamezuia ruzuku, watu wamechanga ili kupeleka moto.
Wameshindwa kujikaza miezi 2, wamekimbilia polisi, hapo TAL hayupo!!!
Eti anasingiza mikusanyiko, mbona kariakoo watu kibao?
. @jmkikwete@SuluhuSamia Mnawanyima Watanzania haki ya kuunga mkono chama chao wanachokiamini kwa kuzuia mikutano ya hadhara.
Mnataka wananchi wapambane kwa njia zipi kama njia zote halali zinazuiliwa?
Ni mpaka mzalishe rebel groups Tanzania ndio mtaona raha?
Jeshi la Polisi limezuia mkutano wa hadhara uliokuwa umepangwa kufanyika leo, tarehe 27 Juni 2026, katika eneo la Rambo, Mkoa wa Tabora. Tangu asubuhi, askari walizingira uwanja wa Mwananchi Square na kuwazuia wananchi kusogelea eneo hilo.
Kutokana na hali hiyo, msafara wa Makamu Mwenyekiti wa Chama, Mhe. John Heche, ulilazimika kuondoka kuelekea Kigoma kwa ajili ya kuendelea na ratiba ya vikao vya chama. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Jeshi la Polisi linaendelea kufuatilia msafara huo tangu ulipoanza safari yake kutoka Tabora Mjini.
SHOW ZA Miezi miwili ya MAKAMU HECHE wamekimbia na CHUPI mkononi—akitoka MWENYEKITI LISSU itakuaje?
Tulipowaonya kuwa hamuwezi kutuua na kututawala mlibisha kiko wapi? Nchi imevimba, watu tunataka HAKI kwanza, hiyo AMANI kaeni nayo nyie.
#HABARI Rais wa Chama cha Mawakili Tanganyika Boniface Mwabukusi, amemkosoa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi (Mb) kwa kauli yake ya kutoa agizo kwa Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Camilius Wambura la kuzuia mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa kote nchini akifafanua kwamba, Jeshi la Polisi ni Chombo kinachojitegemea na sio kitengo katika Wizara ya Mambo ya Ndani. #EastAfricaTV
🔥🔥7/7 sasa inafuatiliwa na dunia nzima‼️
Sijui mmeona headline za kimataifa wameunganisha ban ya mikutano na maandamano ya Sabasaba aka 77 ✊🏽
Sasa tukiwaambia dunia macho yote yako Tanzania niaminini! Hawataweza kufanya walichofanya na tunatoa taarifa ulimwenguni kila siku! Ndiyo maana wanahaha kila kona ila bado tunawaanika!
Sikilizeni nyie madhulmat hii vita mmeshashindwa
You are postponing the inevitable
Mi nawaeleza hamtaki kukubali - haya!
#Tutaelewana
#Maandamano77 #SamiaMustGo #JusticeForMO29 #FreeTunduLissu
What you see in this video is the reason political rallies have now been banned in Tanzania. The opposition’s rallies were growing larger with each passing day. Not only were they drawing massive crowds, but people attending the rallies were also voluntarily donating money to support the opposition.
It was a clear and powerful rebuke of Samia Suluhu’s regime by the people of Tanzania.
@POTUS@SenTedCruz@SenatorShaheen@SenateForeign@SFRCdems