@Captainpilo7 Mi kuna mmoja aliniambia elfu 50 ,nikasema sawa nikamla nikachukua ten na elfu mbili mbili nne nikazikunja kwanda na kile kigiza kasepa naso kilicho fuata asubuhi baada ya kufika kwao๐๐๐
@ShirimaYvonne Dah mi nisikia story nyingi siku iyo napita pale Kuna mdada nilikua nae kwenye gari alinipanga mpaka nikasimama kununua Sasa ivi naweka kwenye njugu mawe
@Big_Nicky01 Mi nilala chooni mpaka asubuhi ndio nastuka niko mtupu kabisa mbaya Zaidi ilikua Lodge ila Wana ndio walinirudisha Tax mpaka Ndani ya lodge nilipiga mizmga miwili ya konyagi mamae dah siku ya mbili siko vizuri mpaka siku ya pili jioni ndio nika anza pata nafuuu