Camavinga the First Tanzanian to play for Real Madrid and UCL,Eduardo Camavinga is a professional footballer who plays as a midfielder for Real Madrid.He was born in Mwanza,Bugando,Tanzania..!
Congratulations bro.
Ilibuka hoja kuwa Elimu ya Chuo Kikuu Tanzania ni ya kiwango duni kwa kuwa Degrii hutolewa kwa miaka michache (Mitatu) ukilinganisha na nchi nyingine duniani.
UFAFANUZI
Muda wa masomo ya shahada ya kwanza hutofautiana kati ya nchi kutokana na mifumo Yao ya elimu, muundo wa mitaala, na mahitaji ya mafunzo ya taaluma mbalimbali. Kwa ujumla, nchi ambazo shahada ya kwanza huchukua miaka mitatu ni pamoja na Uingereza (kwa programu nyingi), Ireland, Australia (kwaprogramu nyingi), New Zealand, Ujerumani, Ufaransa, Italia, Uholanzi (vyuo vikuu vya utafiti), Tanzania Norway, Sweden, Denmark, Finland, Austria, Ubelgiji, Ureno, Uswisi, Jamhuri ya Czech, Poland, Hungary, Afrika Kusini (kwa programu nyingi), na India (kwa shahada nyingiza sanaa, sayansi na biashara). Kwa upande mwingine, nchi ambazo shahada ya kwanza huchukua miaka minne au zaidi ni pamoja naMarekani, Kanada (kwa shahada nyingi),Japani, Korea Kusini, China, Pakistan, Bangladesh, Singapore (kwa programu nyingi), Malaysia (kwa programu nyingi), pamoja na programu za taaluma maalumu nchini India na Afrika Kusini kama vile uhandisi, famasia, usanifu majengo na taaluma nyingine zinazodhibitiwa na sheria.
UNATAFUTA LAPTOP YA BEI NDOGO ILA INA MWONEKANO MKALI?
NEC versa pro
Core m3โ
Ram 4GBโ
Ssd 128GBโ
Processor 1.6GHzโ
Kioo inch 12.5โ
Charge masaa 3+โ
BEI: 350,000/=
DSM FREE DELIVERY
FREE WINDOW INSTALLATION
COMES WITH WARRANTY
โ๏ธ0788106694
Tucheki @usedpointTz
Hizi tamaa sasa, une rekwesti TWENDE bajaji ila kwa foleni za mjini unaiona TWENDE bodaboda unatamani udandie uwai kwa Kanjibai๐
Pakua App ya @twenderide leo upate punguzo la 25% ukifanya safari zako