Katika dini zetu tumefundishwa kuwa Mungu hutujaribu kupitia mali, afya, familia na watoto. Hivyo tuwe na imani thabiti kwa Mwenyezi Mungu, tuvumilie na tusimame imara katika kila hali. 🤲
Uzuri ni kwamba mlipambana sana tusome kwa lengo kwamba mnata mabadiliko na maendeleo katika kila nyanja, sasa kubalini mabadiliko acheni kukaza vichwa. Kuleni matunda yenu.
@MakauWaMuli Let’s separate religion from politics. Criticizing a leader’s actions is fair, but bringing Islam or Muslims into it is completely misplaced. Islam doesn’t support oppression it stands for justice, truth, and accountability. Blame individuals for what they do, not the religion.
Hili ndio jeshi lenu mnalolitegemea kulinda RAIA NA MALI ZAKE.
Hapa wapo kwenye UTEKAJI, Chini ya maelekezo kutoka Juu.
Hawa huwezi kuwaona wakimfanyia hivi kiongozi wa CCM.
Hawa huwezi kuwaona wakimfanyia hivi Mpiga kelele Makala.
Ila utaona wanafanya hivi kwa MWENYEKITI wa chadema TAIFA Mh MBOWE.
Ila utaona wakifanya hivi kwa mpambanaji wa Haki za BINADAMU MDUDE.
Hii ni kwasababu Waliopo juu huko wanakopokea maelekezo kumejaa VIBAKA wenye damu za watu wengi.
Tunaongozwa na jeshi linaloongozwa na MAWATU waliyochinja watu wengi sana TANZANIA.
Mtu kama WAMBURA huyo historia yake inatisha. Mtu kama MAFWELE huyo mwanza wanamjua, Arusha wanamjua, Dar wanamjua.
Tegemea USHENZI na UPUNGUANI wa akili mpaka chini kama huu sana tuu ukifanyika.
Waachieni viongozi wakafanye mikutano kwa amani, mbona CCM hamuwasumbui?
Haya mandondocha mnayoyategemea @tanpol mwisho wao ni mbaya.
Ndiomaana hata maisha ya mapolisi ni Kama MALAYA tuu, njaa kali.
Kuomba omba ndio kitu mnaweza.
REPOST 200🫡