We do not initiate war, but we are built to finish it. Facing the Ethiopian National Defense Force is a choice you should have reconsidered.
Ethiopia ๐ช๐น
Mtu amefanya tathmini Akamua kuuza kiwanja chake kwa 12M! Akamshirikisha Dalali. Dalali akamshawishi kuwa kiwanja hicho hicho anaweza kupata mteja wa 40M!! Wakafikia hutimisho mwenye kiwanja atapata 30M tu; zitakazozidi ni halali ya Dadali. Dalali kapata mteja kwa 55M; Mwenye mali hataki kuuza tena! Hataki dalali apate 25M Nzima kirahisi hivyo!
Nimetembea Tanzania Nzima sijaona watu wajinga kama wazaramo ๐ฎ๐ฎ
Mtu ana watoto 5 bado amepanga nyumba hana Biashara nzuri na bado anaendelea kuzaa na hana hata presha ya kutafuta hela ๐ฎ๐ฎ๐ฎ