Mimi kuna mwana mmoja nilikuwa namdai 160k halafu yuko kimya ikabidi nimtimbie kwao bila taarifa, oya 🙌 nilikuta kwanza ana watoto watatu wawili mapacha na mazingira anayoishi daa! Nikamuita atatoka nje na viatu pair 2 ananipa nivishike kama dhamana aise, nilimuambia tu ukipata hela yangu utaniletea
BREAKINGS.
Dear X formly twitter users from Tanzania.
Sir Jeff Denis anahitaji msaada wetu wa maombi pamoja na kumpazia sauti yupo gerezani keko kwa kesi ya money laundering ( utakatishaji fedha)
Nahisi hiyo kesi atakuwa framed nayo coz mwana anadai anaonewa.
So Sad.🙏🙏