DAR: Makamu wa Rais, Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa Benki Kuu na Taasisi za Kibenki kupunguza gharama za Huduma za Miamala ya Kidigitali ili kuwezesha Wananchi wengi kutumia njia hiyo na kuipunguzia Serikali gharama ya kutengeneza sarafu
Amesisitiza "Ni muhimu kuangalia namna bora ya kupunguza gharama za Huduma za kibenki za Kidigitali ambazo zinaonekana kuwa kubwa na hivyo kukinzana na lengo la Taifa letu la kupunguza matumizi ya Fedha taslimu ili kurahisisha malipo."
Ameyasema hayo Machi 28, 2025 katika hafla ya uzinduzi wa tawi la Benki ya NMB Kinyerezi, Jijini Dar es Salaam.
Soma https://t.co/MTP3jVIcOQ
#HudumaZaKijamii #ServiceDelivery #JamiiForums
𝗪𝗛𝗔𝗧?!
𝗪𝗮𝘁𝗰𝗵: 𝗠𝗼𝗺𝗲𝗻𝘁 𝗕𝗼𝘁𝘀𝘄𝗮𝗻𝗮'𝘀 𝗽𝗿𝗲𝘀𝗶𝗱𝗲𝗻𝘁 𝗳𝗲𝗲𝗹𝘀 𝘄𝗲𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗼𝗳 𝗴𝗶𝗮𝗻𝘁 𝗱𝗶𝗮𝗺𝗼𝗻𝗱
August 24, 2024
Botswana's President, Mokgweetsi Masisi, had to use both hands to hold the world's second largest diamond.
"God is good," he exclaimed as the 2,492-carat stone was unveiled.
A Canadian mining company, Lucara, discovered the diamond in the Karowe diamond mine.
The world's largest stone was 3,106-carat and was found in South Africa in 1905.
- BBC
English media is trying to portray joining Real Madrid as an "unusual" decision.
City has the present, United has the past, Arsenal has the future, Chelsea has money, Liverpool has the UCLs, Tottenham has a white kit
REAL MADRID HAS ALL OF IT.