Kwa UTAMADUNI wa Kesi za Uhujumu Uchumi, ambao ni KUKOMOA, maana ya AHIRISHO hilo 👇 ni kwamba; MANGE KIMAMBI ataendelea KUSOTA RUMANDE hadi tarehe 28 Januari 2026. ##FREE MANGE KIMAMBI##😂😂
Kwa MFANO; kama zilitumika BUKU MBILI MBILI, PIKIPIKI, BAISKELI, KOFIA, na TISHETI ili KUWALIPA VIJANA kama Sehemu ya USHAWISHI kujaza NYOMI hiyo 👇😂😂, kwa nini MBINU hiyo ISITUMIKE kipindi hiki ili KUWASHAWISHI VIJANA WASIANDAMANE?
Kuna Washkaji wengi tu kwa ground wanapotezwa na hawana Watu wa kuwapazia sauti. Dogo anaitwa Ogunya Marwa alitekwa mwezi wa nne alikuwa anatema nondo sana pale TikTok pia alikuwa mwana Chuo wa MUST Mbeya.😥
NEW: Tanzanian president justifies police killing protesters in bizarre address to the "elders" of Dar es Salaam, claiming youth they were paid to overthrow her government.
Our latest update on CNN covers the alternate reality Samia Suluhu Hassan has created
Kwa Mara ya Kwanza Leo nimekosa Chakuandika kabisaaa...!!! yani Mpaka nimechoka Kabisaa..
She's soud like "Ndio nimewaua kwani Mnatakaje sasa"
Kwaleo nipumzike tu aseeh!! Maana nimepata Maumivu mara 1000 🥹
BREAKING NEWS:
Leo tarehe 2 Disemba 2025 Mahakama Kuu ya Tanzania Masjala Kuu DODOMA, IMEKUBALI HOJA ya MADELEKA kwamba; Rais 👇 ANAWEZA KUSHITAKIWA BILA KUPEWA TAARIFA KWANZA kwenye Kesi INAYOMKABILI ya KUFUTA SHEREHE ZA UHURU 2025
Tutasimamia Ibara ya 8 ya Katiba ya JMT.
Kwamba👇
a) Wananchi ndio msingi wa mamlaka yote, na Serikali itapata madaraka na mamlaka yake yote kutoka kwa wananchi.
(b) Lengo kuu la Serikali litakuwa ni ustawi wa wananchi.
(c) Serikali itawajibika kwa wananchi.
Aluta continua.
1. Ni nani aliwahamasisha waafrika kupigania uhuru wao wengi wao wakiwa vijana (Nyerere, Jomo Kenyatta, Nkrumah, Kamuzu Banda, Mandela)?
2.Nani aliwahonga hela hawa wapigania uhuru vijana ili wapiganie uhuru?