Leo nipo hapa kuwaletea Fursa wale wamiliki wa vyombo vya usafiri kama vile bajaji & gari
Exogas green solutions limited Ina kupa fursa yakuweka mfumo wa gesi asilia katika chombo chako cha usafiri kwa gharama nafuu Sana ili kuepukana na changamoto ya bei za mafuta karibuni Sana
Watu wana roho mbaya sana tusiishie tu kupambana, tuombe sana.
Mpaka kazi za kujitolea utafute njia watu pia hawataki..
Baadhi yetu dunia inatufundisha kwa maumivu sana.
Nafsi bora maishani ni zile ambazo baada ya ku survive kwenye moto, hurudi na maji kuokoa wengine..
Baada ya kufika safari yako, hutengeneza njia na wengine wpaite..
Mafanikio ni kuyashinda majaribu yako, na kuwapa wengine sababu ya kushinda changamoto zao.
@Kilwa_finest Aloooh safi sana kaka hii sio thread zile zakuelezea mapenzi n.k ni hadithi yenye kufunza sana aise maneno machache sana naeza kusema Usikate tamaa pole sana mkuu ulipitia changamoto kubwa lakn Mungu Ana makusudi yake
TUONGEZE FOLLOWERS WETU SASA
โ๏ธ Reply handle yako hapa
โ๏ธ Like handle zilizowekwa na watu
โ๏ธ Mtu aki like handle yako mfollow
โ๏ธ Mtu akikufollow follow back
โ๏ธ Nifollow mimi @Meku_255
Kwa pamoja tutafika 10K, ๐๐