The impact of litter on quality of life is a serious concern raised during a recent City2Sea data validation workshop in #TangaCity. Over 14,000 geotagged pictures of litter will help inform litter control strategies for a healthy city and healthy oceans
#problue_oceans
Great day with @WBTanzania as they paid a visit to Tanga city to have an open discussion with @Org_OMaT, TCC Environmental and Community Developments department on how the Litter Mapping is influencing the locals' attitudes toward conservation with a focus on Litter to Ocean.
Nimesikitishwa sana na kitendo alichofanyiwa CEO wa Simba cha kuzuiliwa kuingia kwenye eneo la VVIP katika mchezo wa jana.
Kwa nafasi ya uongozi aliyonayo Ceo ni jambo la aibu kwa soka letu kukutana na kadhia kama ile. Kumvunjia heshma CEO, nikuvunjia heshma taasisi ya Simba.
Mwanzo nilikuwa nauza vinywaji vya moto jijini Tanga walipokuja watu wa Data sie vijana wa mtaani tulidhani hatuwezi kufanya hii kazi lakini tulijifunza maana ya Data na tukaweza kuwa data ambassadors na tunaweza kufanya maamuzi kwa kutumia Data
#DataTamasha2021#UnboxingData
#UNAAMBIWA: Rekodi ya kuvunja nazi kwa kutumia mkono mmoja ndani ya dakika 1 pekee imevunjwa na Abheesh Dominic kutoka Kerala nchini India, alivunja nazi 122 ndani ya dakika 1, Abheesh aliivunja rekodi hiyo mwaka 2017 na kabla ya hapo rekodi hii ilishindwa kuvunjwa kwa miaka 5.