Hawa wanasiasa Wanafiki hawafai kabisa kwenye hii Nchi, wewe sindio ulienda Ikulu kuomba msamaha,Na leo unasema tumkague mbona wakat Yuko hai hukujitokeza kusema Maneno hayo nakama tukikuta makosa Nani awajibishwe? Acha unafiki kwakutaka uteuzi.@Rukia_95 @Officialfrydah
Kwa kasi ya ukuaji wa deni la Taifa katika kipindi cha miaka mitano, ni muhimu ukafanyika ukaguzi maalum{Special Audit} kwenye akaunti ya Madeni, ili kujiridhisha kiasi gani kimekopwa, kimepelekwa wapi na uhalisia wa thamani ya miradi inayotekelezwa kwa kutumia mikopo hiyo!